lengo la kupunguza gharama za maisha katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza bei elekezi ya Sukari kwa lengo la kupunguza gharama za maisha katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban amesema Kilo 1 ya Sukari itauzwa kwa TSh. 2,650 kwa Unguja na TSh. 2,700 kwa kilo kwa upande wa Pemba. Awali, Bei ya Rejareja ya Sukari ilikuwa Tsh. 3,200.
Share: