UZALISHAJI WA UMEME TANZANIA UMEONGEZEKA MARA TATU (1 .6MW - 4 MW)

Taifa la Tanzania linajivunia uongozi wa serekali ya Rais Samia , baada ya uzalishaji wa umeme kuongezeka mara dufu huku tatizo la ukatikaji wa umeme na upatikanaji wa umeme umekuwa mkubwa katika maeneo mbali mbali vijijini na mijini,ongezeko la uzalishaji wa miradi mbali mbali....

Uzalishaji wa umeme wa uhakika Tanzania umeongezeka mara tatu (3) chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu.Raisi Samia amewezesha ongezeko kubwa la uzalishaji wa umeme kutoka MW 1,601.84 mwaka 2020 hadi MW 4,031.71 hadi 2025.


Hii imechangiwa na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya uzalishaji na usambazaji umeme baadhi ni hii ifuatayo,

a) b) Julius Nyerere (JNHPP) wenye MW 2,115

Kinyerezi I Extension MW 185 kwakutumia gesi asilia

c) Rusumo ambao umetekelezwa katika Mto Kagera kwaushirikiano wa nchi tatu (3) za Tanzania, Burundi na Rwanda

kwa mgawanyo sawa wa umeme MW 26.67

d) Kidatu

e) Kihansi

f) Kinyerezi II

g) Malagalasi

h) Mtera

Share: