Tra yafungua mkutano mkuu wa utoaji huduma za forodha bandari

Wahusika wa Kiuchumi Walioidhinishwa (AEO)

Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Mcha Hassan Mcha tarehe 19.02.2024 amefungua kikao kilicho wakutanisha TRA na wakuu wa taasisi nyingine za Serikali zinazo simamia uondoshaji wa shehena katika bandari na Mipakani kwa kuangalia namna Bora ya utoaji huduma za forodha kwa Wahusika wa Kiuchumi Walioidhinishwa "Authorised Economic Operators" (AEO), katika Ukumbi wa Hotel Verde, Zanzibar.

Share: