Shirika la ndege la kenya limeingiza faida ya tsh. bilioni 201 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7

Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limeripoti kupata faida ya Ksh. Bilioni 10.5 (sawa na Tsh. Bilioni 201) kwa mara ya kwanza ndani ya Miaka 7. 


Shirika hilo ambalo sehemu kubwa linamilikiwa na Serikali ya Kenya limesema hiyo ni hatua kubwa baada ya kupata hasara ya uendeshaji wa Ksh. Billioni 5.6 (Sawa na Tsh. 177) Mwaka 2022. 

Kenya Airways imekuwa na madeni na kupata hasara kwa miaka kadhaa licha ya msaada mwingi wa Serikali ya Kenya. 

Share: