Shilingi bilioni 678 zitatumika kujenga mradi wa matenki ya mafuta bandari ya dar

Mampema Leo Katika Ofisi Za Kumefanyika Utiaji Saini Mkataba Wa Ujenzi Wa Matenki Na Miundombinu Ya Kupokelea,Kuhifadhi Na Usambazaji Bidhaa Ya Mafuta Katika Bandari Ya Dar Es Salaam.

Katika Hafla Hiyo Ya Utiaji Saini Umeshuhudiwa Na Viongozi Mbalimbali Wakiongozwa Na Waziri Wa Uchukuzi Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Na Viongozi Wa Dini.

Mradi Huu Wa Ujenzi Wa Matenki Hayo Utagharimu Zaidi Ya Bilioni 678 Mpaka Kukamilika Kwake Ambapo Mkandarasi Atatakiwa Kuukabidhi Mradi Huyo Ndani Ya Miaka Miwili Utakapokamilika.

Share: