Nabii mhe. dkt.geordavie ametoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya likamba iliyopo kisongo arusha tanzania

KIASI CHA SHILINGI MIL 11.5 KIMETOLEWA KUSAPOTI WAATHIRIKA WA MAFURIKO KISONGO ARUSHA

SERIKALI YA KIJIJI CHA NGORBOB KATA YA MATEVES KISONGO, ARUSHA,IMEMSHUKURU NABII MKUU MHE. DKT.GEORDAVIE KWA KUTENGENEZA BARABARA HIYO ILIYOKUWA IMEHARIBIKA SANA NA KUPOTEZA MAWASILIANO KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MAENEO MBALIMBALI NCHINI.

MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NGORBOB MOHAMED SAID NASSORO AMESEMA NABII MKUU NI MTUMISHI WA MUNGU AMBAYE MARA NYINGI AMEJITOLEA KATIKA UKARABATI WA BARABARA HIYO PAMOJA NA MISAADA MINGINE IKIWEMO UJENZI WA MAABARA YA KIJIJI HICHO.


AIDHA NABII MKUU MHE.DKT.GEORDAVIE KWA WIKI MBILI HIZI KATIKA MWEZI HUU WA APRIL AMETUMIA JUMLA YA KIASI CHA SHILINGI MILLION 116.5(MILIONI MIA MOJA KUMI NA SITA NA LAKI TANO) KWA AJILI YA KUSAIDIA JAMII.

KIASI CHA SHILINGI MILIONI 100 IKIELEKEZWA KWENYE UJENZI WA BARABARA YA LIKAMBA, KIASI CHA SHILINGI MIL 11.5 KIMETOLEWA KUSAPOTI WAATHIRIKA WA MAFURIKO KISONGO ARUSHA, TANZANIA.


YALIYOSABABISHWA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA TAREHE 10/4/2024 JUMATANO YA WIKI ILIYOPITA NA KUSABABISHA BAADHI YA WATU KUKOSA MAKAZI.

NA KIASI CHA SHILINGI MIL 5 ZIKIWA ZIMEELEKEZWA KWA SHULE YA SEKONDARI YA LEPURKO ILIYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI KWA AJILI YA UNUNUZI WA VITANDA 20 VYA SHULE HIYO.

Share: