ZiG imechukua nafasi ya dola ya Zimbabwe, ambayo imepoteza karibu asilimia 100 ya thamani yake dhidi ya dola ya Marekani.
Tarehe 5 Aprili, dola 1 ya Marekani ilikuwa ikibadilishwa kwa takribani 30,000 ya Zimbabwe.
Benki kuu ya Zimbabwe inasema kwamba noti za zamani za dola ya Zimbabwe zitabaki kutumika kwa siku 21 kuwawezesha watu kubadilisha na kupata noti mpya za ZiG.
Share: