Dodoma: dkt. nchemba ateta na waziri wa viwanda katika kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara nchini

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara ili sekta hiyo iweze kuongeza mchango wake katika Uchumi na maendeleo ya watu. 


Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi waandamizi wa Wizara hizo mbili.

Share: