
ATCL imetengeneza hasara hiyo licha ya kupokea Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55 kutoka Serikalini
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, amesema Shirika la Ndege Nchini (ATCL) limetengeneza hasara ya Tsh bilioni 56.64 kwa Mwaka 2022/23 ikiwa ni ongezeko la Asilimia 61 ikilinganishwa na hasara ya Mwaka uliopita
Amesema ATCL imetengeneza hasara hiyo licha ya kupokea Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55 kutoka Serikalini.
Share: