Benki ya kilimo,mfuko wa pembejeo kuunganishwa

Serikali imeridhia mapendekezo ya timu ya wataalam kuunganisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kuunda taasisi moja itakayohusika na utambuzi wa matukio muhimu ya maisha.

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo ametangaza leo Ijumaa Disemba 15, jijini Dar es Salaam kuwa lengo la mpango huo ni kutekeleza maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na namba moja ya utambulisho.

Share: