Taji La Mwanamke Kaupiga Mwingi
Wafanyakazi wa QI GROUP wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiwa wanaadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kwa mwaka ujumbe wetu mkubwa ulikuwa ni Taji La Mwanamke Kaupiga Mwingi tuliweza kuwapa heshima wanawake wote ambao kwa hakika wameupiga mwingi katika mapambano yao.
Share: