Wanajeshi wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85

Jenerali Mkuu, Edward Buba, alisisitiza kwamba tukio hilo lilikuwa

Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa Nchi hiyo

Shambulizi hilo lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo Ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa ikiwalenga Magaidi na Majambazi iliwashambulia Raia 'kimakosa'

Jenerali Mkuu, Edward Buba, alisisitiza kwamba tukio hilo lilikuwa "kosa" na kusema Jeshi linachukua tahadhari ili kuhakikisha makosa hayo hayarudiwi

Share: