Ujauzito wa megan fox waharibika

Muigizaji maarufu kutoka Hollywood Megan Fox amefichua siri ya kupitia wakati mgumu katika maisha yake

Fox alisema alikua akiteseka kwenye mahisiano na kubwa zaidi ni kuharibika kwa mimba ya mtoto wao wa kike na mchumba wake Machine Gun Kelly

Katika mahojiano na Good Morning America. Fox alisema "Sijawahi kupitia kitu kama hichi maishani mwangu Nina watoto watatu, kwa hivyo ilikuwa ngumu sana kwetu sote na ilileta muelekeo mbaya wa maisha yetu. kwenye safari ya ajabu sana na tulijaribu kujiuliza Hii inamaanisha nini?' na 'Kwa nini hii ilitokea”

Share: