Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu “Ni kweli amefariki usiku wa kuamkia leo Mwananyamala Hospitali”
“Hajaumwa muda mrefu aliletwa Hospitali juzi kisha jana tukaja kumuona ila usiku wa kuamkia leo ndio hivyo tena, msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan" amesema Aziz
Share: