Ujasiri maono na uthubutu ulioko ndani yako umetupa sababu ya kila siku kujivunia ndani ya Taifa letu, Sote tunasherehekea kazi kubwa unayoifanya na kuleta maendeleo. KAZI IENDELEE

Asante sana mama yetu kwa kuendeleza kudumisha amani ndani ya nchi,asante kwa kuendeleza miradi mbalimbali mikubwa,asante kwa kurudisha wawekezaji nchini lakini pia umeongeza uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa 100% inayopelekea wana habari tufanye kazi kwa uhuru pasipo shaka hakika kwenye haya mama unastahili pongezi na shukrani za dhati.

Endela kutuongoza kwenye njia hiyo hiyo kwani tumeona makubwa sana ambayo umeyafanya kwenye utawala wako.

Share: