Mbunge wa Kigamboni (CCM), DK Faustine Ndugulile amefariki dunia leo Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu
Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson. Amesema taarifa zaidi kuhusu msiba huo itatolewa.
Dk Ndugulile Alikuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Dunia Kanda ya Afrika (WHO) ambaye alipaswa kuanza majukumu hayo mapya Februari 2025
Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.
Cc | @ortamisemi @mohamed_mchengerwa
#MitaaInaamua #Novemba27 #NovembaYaMitaa
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
Share: