Siku ya tukio maalumu la kupatwa kwa jua siku ya leo tahehe 8 april 2024

Baadhi ya maeneo Duniani watanufaika na tukio adhimu la kupatwa kwa Jua siku ya leo tahehe 8 April 2024. Ambapo kwanzia majira ya saa 9 jioni Mwezi utakuwa katika awamu yake ya mwezi mpya, na utaonekana kwa ukubwa mkubwa.

Maana yake ni kwamba uwezo wa kufunika 100% ya duara la jua kama inavyoonekana kutoka njia nyembamba ya utoshelevu. Sehemu ya kipenyo cha jua kilichofunikwa na mwezi huitwa ukubwa wa kiza cha jua.

Sehemu zitakazo shuhudia tukio hili vizuri ni Pu‘uali‘i, Hawaii, Sinaloa, Mexico, na kumalizikia Pwani ya Atlantic itakuwa na kiza hicho saa 11:16 jioni saa za eneo (saa 3:46 alasiri EDT, 1946 GMT)

Share: