RC Makonda akiongoza maombi maalumu kwa mkoa wa Arusha

RC Makonda akiongoza maombi maalumu kwa mkoa wa Arusha

Mkuu wa mkoa wa arusha akiongoza sala maalum kwa mkoa wa arusha | maombi hayo yametanguliwa na matembezi ya amani kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa arusha | viongozi wa dini zote mkoani arusha wanashiriki kwenye maombi hayo | salamu mbalimbali zimetolewa kwa wahubiri mashuhuri tanzania | maombi hayo ni sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa tanzania bara | kaulimbiu ya sherehe hizo inasema " miaka 63 ya uhuru wa tanzania bara; uongozi madhubuti na ushirikishwaji wananchi ni msingi wa maendeleo yetu."

Share: