Rais Samia Suluhu Hassan amefika kuuga mwili wa Faustine Ndugulile Karimjee
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili viwanja vya Karimjee kuungana na Watanzania waliopo hapa Karimjee na wanaofutilia vyombo mbalimbali katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi wa shirika la Afya duniani (WHO) ukanda wa Afrika hayati Dkt. Faustine Ndugulile.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
Share: