Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko kuwa siku ya Jumatano, November 27 siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko.
"Tarehe 27 Novemba, 2024, Jumatano, ambayo ni siku ya kazi, imetangazwa na Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa kuwa Siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024"
Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.
cc @ortamisemi @mohamed_mchengerwa
#MitaaInaamua
#Novemba27
#NovembaYaMitaa
Share: