Rais Samia ahitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali pamoja na wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro Mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi kwenye mkoa wa Arusha leo Jumapili Disemba 01, 2024. Rais Samia pamoja na shughuli nyingine, alikuwa Mkoani Arusha kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyowakutanisha Marais na Wawakilishi wao kutoka nchi zote nane za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi. (@ikulu_mawasiliano @maelezonews @samia_suluhu_hassan @msemajimkuuwaserikali)
#STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza