
Leo Juni 9 ,2025 Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameshiriki kikamilifu katika sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa jeshi la polisi Katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Police ,jijini Dar es salaam
Rais Samia Suluhu amekuwa na utashi mkubwa sana wa kuona mabadiliko makubwa yanafanyika ndani ya jeshi la police .Ananuia kuona mabadiliko haya na unakwenda kutekeleza nia yako. "Mheshimiwa Rais hausiti kwenye masuala ya kufanya nchi hii ikaendelea kuwa salama" .ameyasema hayo IGP Camillus wambura kwenye hafla hio.
Share: