Hayawi hayawi sasa ya mekuwa, Tanzania to lagos Nigeria, hili ni tukio la kihistoria ,siku isio weza kusaulika kwa mashabiki na wadau wote wa tasnia ya sanaa hususani mziki ...

Tukio la kukata na shoka , Sherehe ya harusi ya wanandoa super star Juma Jux , na mtoto mkali kutoka nchini Nigeria mke halali Priscilla ilifanyika usiku wa tarehe 28 May 2025 ,ndani ya ukumbi wa kimataifa maarufu "Superdome" Masaki. Hakika ilikuwa ni sherehe ya aina yake ambayo imejaza watu ikiwemo mastar wakubwa wa ndani na njee ya nchi. 


Diamond platnumz, zuchu, Nandy na mumewe Billnass,  S2kizzy  na wengine kibao wameonekana kwenye tukui hili wakiwa na nyuso za furaha huku pia wakiwa wamevalia mavazi ya aina yake yani watu waliulamba na kupendeza sana,huku mziki ukitawala wakati wageni walikwa wakila na kunywa wakisherekea.