Mtangazaji Diva Malinzi na Mfanyabiashara Niffer wameandika ujumbe wakiwa Kituo cha Polisi nakuomba wasamehewe na kuachiwa ili wakaendelee na shughuli za kijamii
Baada ya Kutenda Makosa hayo Diva Malinzi ( 36 ) na Jenifer Jovin ( 25) Walikamatwa na jeshi La Polisi kwa ajili ya Mahojiano na Wameendelea Kubaki Mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana .
Hivyo Kutokana na Kutambua Makosa Yao Wote wawili KWa Pamoja , Wameandika Jumbe za Kuomba Radhi na Kuomba Kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu , huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii .
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza