
Tafsiri sahii ya ungozi bora utaipata hapa unaposikia kaulimbiu ya kazi na utu unaweza ihakikisha kwa matukio kama haya yanao lenga uwajibikaji wenye tija kwa jamii na wanchi kwa ujumla, Mradi wa maji Butimba Mwanza .....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.
Taswira ya chanzo cha maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.