Moto wateketeza maduka mwanza | hakuna majeruhi

Moto ambao haujafahamika chanzo chake unaendelea kuwaka na kuunguza duka la vifaa vya umeme katika mtaa wa Rwagasore, Karuta Jijini Mwanza. Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema huenda chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme.

Jeshi la zimamoto mkoa wa Mwanza, limefika katika eneo la tukio na linaendelea na jitihada za kuzima moto huo

Share: