Jengo Linalojengwa katika Eneo la Majengo Kaunti ya Mombasa Limeporomoka Na Kuacha Mtu mmoja Akinaswa
Jengo Linalojengwa katika eneo la Majengo kaunti ya Mombasa limeporomoka.
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limeripoti kuwa watu 2 wameokolewa huku mtu mmoja akihofiwa kunaswa kwenye vifusi.
Share: