Iran yaonesha nia kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa watu wa Iran ukiongozwa na Balozi wake nchini Tanzania, Mhe. Hossein Alvandi Bahineh jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Mambo mengine, nchi ya Iran imeonyesha nia ya kufanya uwekezaji na biashara katika Sekta ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania.

Share: