Elizabeth Michael akarabati wodi ya watoto wenye matatizo ya saratani hospitali ya muhimbili
Ikiwa ni kama zawadi kwa Watoto wake wawili kwenye siku zao Za kuzaliwa (Gracious 07/12 na Genesis 16/07). Kupitia ukurasa wa Instagram wa Muigizaji @elizabethmichaelofficial ameshare video hiyo akipeleka vitu mbalimbali na kukarabati wodi ya watoto wenye Saratani katika Hospital ya Muhimbili ambayo kwa sasa inaitwa #ElizabethMichaelWard
Share: