Daraja la somanga mtama linaloonganisha mikoa mitano lakatika kutokana na mvua zinazo endelea

Hizi ni picha zinazoonesha hali ilivyo muda huu katika Daraja la Somanga linalounganisha Mkoa wa Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma limekatika usiku wa kuamkia leo hii kutokana na mvua zinaoendelea kunyesha na kusababisha magari ya abiria na mizigo kukwama njiani.



Tutaendelea kukusogezea updates za kinachoendelea hapa katika eneo la Somanga Mtama ambapo baadhi ya abiria wamelala kwenye magari baada ya kukosa sehemu za kulala kutokana na nyumba za wageni na lodge zilizopo karibu na eneo hili kuwa zimejaa mpaka sasa bado hakuna matumaini ya kuvuka muda huu.



Share: