Bungeni Dodoma kumchangia prof .jay

Prof. Jay leo alifika bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.

Bunge limeazimia kumchangia aliyekuwa Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) kwa ajili ya kusaidia taasisi yake ya kuwasaidia wagonjwa wa figo iitwayo Professor Jay Foundation itakayozinduliwa Novemba 24 mwaka huu, Dar es Salaam.

Prof. Jay leo alifika bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.

Share: