Zanzibar: dkt. mwinyi amteua shariff kuwa waziri

Mheshimiwa Shariff ataapishwa tarehe 22 Februari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Mheshimiwa Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji.

(Mhandisi Zena A. Said)

Mheshimiwa Shariff ataapishwa tarehe 22 Februari, 2024 Saa 8:00 mchana katika Ukumbi wa Baraza la Mapinduzi - Ikulu, Zanzibar.

Share: