Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotumia usiku wa leo Dec 31 kuzungumza na kutoa salam za Mwaka mpya kwa wa Tanzania.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameungana na Wana-Ruangwa kufuatilia salam za mwaka mpya zilizotolewa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotumia usiku wa leo Dec 31 kuzungumza na kutoa salam za Mwaka mpya kwa wa Tanzania.
Share: