Matukio ya mauaji yamesababisha robo ya Shule zote Nchini humo kufungwa
Umoja wa Ulaya (EU) umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya Watu 100 kuuawa Nchini BurkinaFaso katika Kijiji cha Zaongo
Marekani pia imetoa kauli ya kulaani mauaji hayo licha ya Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso kutotoa tamko lolote hadharani juu ya taarifa hizo na haijulikani Mhusika wa matukio hayo
Matukio ya mauaji yamesababisha robo ya Shule zote Nchini humo kufungwa.
Share: