Watoto wa Mastaa wakongwe wa Filamu na Ucheshi Eddie Murphy na Martin Lawrence wamechumbiana alfajiri ya leo
Eric Murphy ni mtoto wa kiume wa Muigizaji Eddie Murphy ambaye amechumbiana na Jasmin Lawrence (mtoto wa kike wa Martin Lawrence)
Wawili hawa walikutana baada ya kukutanishwa na Mjomba wa Jasmine ambaye alikuwa ni mtu wa karibu na Eric baada ya hapo wawili hao wakaanza kudate na mwaka 2021 wakatoka hadharani kwa mara ya kwanza, Miaka mitatu baadae Pete ya Uchumba
Share: