Wanawake wa afrika mashariki wanaosifika kwa kuweka historia katika sekta ya usafiri wa anga

Wafahamu baadhi ya wanawake wa Afrika Mashariki wanaosifika kwa kuweka historia katika sekta ya usafiri wa anga.

1. Irene Koki mutungi: Rubani wa kwanza wa kike Kenya na nahodha wa kwanza wa kike wa ndege aina ya Boeing 787 Dreamliner barani Afrika.

2. Kapteni Neema Swai: Rubani wa kwanza wa ndege ya mizigo nchini Tanzania

3. Amsale Gualu: Kapteni wa kwanza wa kike wa Ethiopia

4. Esther Mbabazi: Rubani wa kwanza wa kike wa Rwanda

5. Itudria Andy Rachel: Rubani wa kwanza wa Kike wa Uganda

6. Gueda Yav Amani: Rubani wa kwanza wa kike DRC

7. Yolanda Ndala-Kaunda: Kapteni wa kwanza wa kike, Malawi








Share: