Viongozi mbalimbali wakiwasili kwenye hitimisho la kurasa 365 za mh. rais samia suluhu hassan

Viongozi mbalimbali kutoka serikalini na sekta binafsi tayari wameshawasili katika viunga vya Mlimani City kwa ajili ya kuhitimisha hesabu ya Kurasa 365 Vol. 3 katika kuangazia mafanikio makubwa ya sekta mbalimbali ndani ya miaka mitatu ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan.


Tayari Mh. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshawasili sambamba, Waziri wa Habari na Mawasiliano, Mh. Nape Nnauye, Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Abdalla Ulega pamoja na wadau mbalimbali kutoka sekta mbalimbali wa sekta mbalimbali.

Share: