Hii inakuwa nyimbo ya nne kuwa na watazamaji zaidi Bilioni Moja,ya kwanza ni BILLIE JEAN yenye 1.7B views huku ikifuatia Ile THEY DON'T CARE ABOUT US (BRAZIL VERSION) ikiwa na 1.1B views huku THRILLER ikiwa na 1B views pia
Hii ndio maana halisi ya hayupo nae kimwili lakini kiroho tupo nae. Licha ya kutokuwepo ulimwenguni kwa miaka mingi sana lakini bado kazi zake zimeendelea kusumbua ulimwenguni.
Mfalme wa Pop #MichaelJackson ameendelea kuisumbua Dunia Kwa kazi zake ambazo alizotoa enzi ya uhai wake,Ngoma ya Smooth Criminal aliitoa mwaka 1988 katika album yake aliyoipa jina la BAD
Ngoma hiyo iliwekwa kwenye mtandao wa YouTube NOV 19,2024 yaani miaka 14 iliyopita na Kwa sasa wimbo huo umefikisha watazamaji zaidi Bilioni Moja
Share: