Unafahamu pasipoti zenye nguvu zaidi afrika mashariki?

Orodha hii ya viwango vya Pasipoti Bora mwaka 2024 ni kwa mujibu wa data ya kipekee kutoka Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (IATA) - hifadhidata kubwa zaidi ya habari za usafiri kwa ushirikiano na shirika la utafiti la Henley & Partners.

Raia wa Kenya, Uganda na Tanzania wanaweza kusafiri hadi nchi 70 au zaidi bila kuwa na kibali cha viza.

Kati ya mataifa yote ya Afrika Mashariki, ni Kenya na Tanzania pekee ndizo zimeorodheshwa katika pasipoti 10 bora barani Afrika.

Share: