Un yapitisha matumizi ya akili bandia (ai) kwa wanachama wake huku ikiziomba nchi kulinda haki za binadamu

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha Azimio la kwanza la Kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba Nchi kulinda Haki za Binadamu, kulinda Taarifa binafsi, na kufuatilia kwa karibu Teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza kujitokeza

Azimio hilo linapigania kila Nchi kuimarisha Sera za Faragha kutokana na hofu kwamba AI inaweza kutumiwa kuvuruga michakato ya Kidemokrasia, kuchochea udanganyifu au kusababisha Watu kupoteza kazi kwa kiasi kikubwa

Share: