
Ugomvi kati ya Drake na Kendrick Lamar umeingiza pesa zaidi ya billion 35.5
Unaambiwa Beef kati ya rappers kutoka Marekani Drizzy Drake @champagnepapi na @kendricklamar kupitia diss track zao zimeripotiwa kuingiza dola milioni 15 sawa na 35,531,160,000 (Billion 35.5) za kitanzania katika mapato ya jumla, kulingana na Billboard.
Mapato hayo ni kutokana mauzo ya nyimbo zao 6 za Diss katika platforms mbalimbali za kuuza na kusambaza kazi za muziki duniani.
Kibongo-bongo unadhani Beef ya wasainii gani inaweza kutengeneza kiasi kikubwa cha fedha ..?
Share: