UDADAVUZI : NICK MINAJI AFUNGIWA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM

Jumapili, Julai 9, 2025: Msanii wa hip‑hop, Nicki Minaj, alitangaza kupitia mtandao wa X (aliyekuwa Twitter) kuwa tayari amefungiwa kutoka kwenye akaunti yake ya Instagram, mara baada ya kutoa malalamiko mkali dhidi ya Jay‑Z, Megan Thee Stallion, na kampuni ya Roc Nation.

Bidada super star nick alisema “Barbz it looks like I’ve been locked out of my Instagram.”Hii ilitokea takriban masaa tu baada ya yeye kushusha kanda zinazohoji uhusiano wa Jay‑Z na kesi ya paternity inayohusisha Raymir Satterthwaite – pamoja na kauli zake dhidi ya Jay‑Z, Desiree Perez (CEO wa Roc Nation), na Megan Thee Stallion.

Jambo hili lina weza kuwa na sababu zifwatazo kupelekea kufungiwa kwa account ya Minaj ,ambapo sababu moja wapo inaweza kuwa ni Malalamiko yake yaliibua mjadala kuhusu nguvu ya Roc Nation na mauaji ya kisiasa, akituhumu kuwa: “Dear #JayZ & Desirat, You ruined hiphop, You ruined football…” huku piaa siku hiyo hiyo, alishusha picha na ujumbe kueleza madai ya mlipa kodi wadogo (100–200 M$) anayodaiwa kuwa binamu yake Jay‑Z – akiita hii ‘karmic debt’ .


Swala hili bado sababu rasmi ,Haijataja wazi kama kufungiwa ni kwa sababu ya kosa la kiufundi au tofauti ya programuNeither Instagram, Jay‑Z, Roc Nation au Megan Thee Stallion hawajatoa hoja rasmi.Hali inachunguzwa zaidi – kesi ya Satterthwaite bado inaendelea, na Nicki bado hajapata tena matumizi ya Instagram .


Endelea kutufwatilia kwa habari motot moto za mastar ,kitaifa na kimataifa kupitia mitandao yetu yote yakijamii kwa jina @stbongotv huku ukitutazama bila chenga, Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.


#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza

Share: