
Urusi ya mshtumu Trump kwa kuendeshwa na hisia baada ya kumuita Putin 'Mwenda wazimu' Ikulu ya nchi ya Serekali ya Urusi imekuja juu na kudai kuwa Donald Trump anaonesha dalili mbaya sana
Trump ameonesha kutokumweza Putin kihisia baada ya kumuita Raisi huyo wa Nchi kubwa ya Urusi "mwendawazimu" kufuatia shambulio kubwa zaidi la vita ya angaa la Moscow dhidi ya Ukraine.
Raisi wa Marekani Mh Trump alisema kwenye mtandao wa kijamii wa Truth social kwamba " kuna kitu kimetokea" Kwa Raisi wa Urusi Mheshimiwa Putin,baada ya Urusi kuwauwa zaidi ya watu 10 nchini Ukraine kwakutumia Droni na makombora 367."Amekuwa mwendawazimu"Raisi Trump alinena.
Share: