Trump kuwatimua wanajeshi 15,000 waliobadili jinsia Marekani

Rais mteule wa marekani Donald Trump anapanga kutia saini agizo kuu la kuwaondoa wanajeshi waliobadili jinsia kwenye jeshi la marekani.

Kulingana na tovuti ya The Times inadhaniwa kuwa huenda agizo hilo linaweza kutolewa katika siku yake ya kwanza Ofisi kama Rais Januari 20, na linaweza kuathiri zaidi ya watu 15,000 wanaofanya kazi kikamilifu ambao wanaripotiwa kujitambulisha kama watu waliobadili jinsia.

_

Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.


Cc | @ortamisemi @mohamed_mchengerwa

#MitaaInaamua #Novemba27 #NovembaYaMitaa


#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza

Share: