
Vita Vikali ,Vinavyo husisha mataifa mawili Israel na Iran imefikia pahala makubaliano yamefanyika kusitisha mapigano ya Israel na Iran kikamilifu,Raisi wa Marekani ametangaza ivyo, kupitia mtandao wa Truth social mengi mengi amesema ,
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kupitia mtandao wa Truth Social kuwa Israel na Iran wamekubaliana kusitisha mapigano kikamilifu, akitaka mpango huo uanze ndani ya saa sita kutoka alipochapisha, Pia aliweka wazi kuwa kila upande utasimama kwa saa 12, na baada ya hilo vita vitaamuliwa “kumalizika rasmi”.
Hata hivyo, hata leo hakuna taarifa rasmi kutoka serikali za Israel au Iran ambazo zimethibitisha makubaliano haya; Iran imekubaliana kusitisha mashambulizi endapo Israel itaacha kivita, lakini haijabainisha vigezo kamili.
Israel, kwa upande wake, imesemekana kukubali mapema, lakini iliripotiwa pia kuwa makombora yanarushwa tangu Trump atangaze makubaliano.
Ikumbukwe, Kuanzishwa kwa vita hii,Mapigano haya yalianza rasmi alipofanywa shambulio la Israeli mnamo Juni 13, 2025, ambalo lililenga miundombinu ya Iran, ikishirikiana na Marekani, kwa madai ya kuzima mpango wa nyuklia wa Iran.
Israel ilinyang’anya ving’amuzi vya maswala nchini Iran ikiwa ni pamoja na vituo vya kitaifa na nuklia, ikisema ilikuwa kitisho cha "preemptive" . Iran ilijibu kwa mashambulizi ya makombora yaliyoelekezwa ndani ya Israel, yakiwemo hospitali ya Soroka mnamo Juni 19, 2025, ambapo zaidi ya 50 walijeruhiwa na kusababisha mshtuko mkubwa .
Maombi ya kusitisha mapigano yalisababisha kufungwa kwa anga kwenye baadhi ya maeneo ya Israel na Qatar.