Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua aliyekua Mwanzilishi mweza wa mchezo wa Mieleka World Wrestling Entertainment (WWE), Linda McMahon, kuwa waziri mwenye dhamana katika wizara ya elimu Marekani.
Linda McMahon, ambae ni mke wa Mr.McMahon licha kuwa mkurugenzi mwenza na mwanzili wa Mchezo huo tangu mwaka 1980 , pia mara kadhaa amewahi kushiriki kama sehemu ya mpiganaji, kabla ya 2009 kujihudhuru nafasi yake na kuingia rasmi kwenye siasa huku akiwa mshirika wa muda mrefu wa Trump, ambae nae mara kadhaa amewahi kushiriki Mieleka na ni shabiki mkubwa wa mchezo huo.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi ikumbatie @STBongoTV.
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza