The weekend msanii aliyesikilizwa zaidi spotify 2024

The weekend msanii aliyesikilizwa zaidi spotify 2024

Mwanamuziki @theweeknd kutoka canada , ametajwa kuwa msanii wa kiume aliyesikilizwa zaidi kwa mwaka 2024 katika mtandao wa Spotify.

The Weeknd amempiku rapper Drake @champagnepapi ambae yeye anashikilia rekodi ya kuwa msanii aliyesikilizwa zaidi duniani kwa mwezi november katika mtandao huo wa spotify.

Share: