Tanzania nchi yenye furaha zaidi afrika

Dunia inakumbwa na mambo mengi kama gharama kubwa za maisha, magonjwa ya milipuko, ukame, na machafuko ya kiuchumi, na kupata furaha imekuwa ngumu kwa nchi nyingi duniani.


Kutokana na ripoti za shirika ‘Mental State of the World’ zinaitaja Tanzania kama nchi yenye furaha Zaidi ukanda huu wa Africa

Tanzania imejivunia alama za juu zaidi kwa alama 88, huku Nigeria na Zimbabwe zikifuata kwa karibu 83 na 74.

Share: