Tanzania na hungary za saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji.

Tanzania na Hungary zasaini hati ya ushirikiano sekta ya maji. 

Tanzania na Hungary zimetia saini Hati ya Makubaliano kuhusu Ushirikiano katika Sekta ya Maji. 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba ameweka saini Hati hiyo kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na kwa upande wa Hungary, Hati hiyo ilisainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara, Mhe. Péter Szijjártó 

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Maryprisca Mahundi alishuhudia zoezi hilo la utiaji saini.

Share: