Takriban watu milioni 5.6 wamekimbia makazi yao ndani na nje ya Sudan baada ya mapigano ya zaidi ya miezi sita, kulingana na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu.
Watalam wa masuala ya kutetea haki za binadamu wanahofia kuwa nchi hiyo huenda ikatumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
Share: